Skip to main content
Skip to main content

Wabunge wa Nairobi waunga mkono mkataba wa serikali kuu, ongezeko la Sh80 bilioni kwa huduma

  • | Citizen TV
    1,060 views
    Duration: 2:45
    Wabunge wanaounga mkono serikali kutoka kaunti ya Nairobi wameunga mkono mkataba uliotiwa saini kati ya serikali kuu na serikali ya kaunti ya Nairobi. Wabunge hao wanasema kuwa mkataba huo utaboresha huduma kwa wakaazi wa nairobi kupitia nyongeza ya shilingi bilioni 80 katika utoaji huduma Nairobi