Wabunge wa UDA wapanga kuzungumzia mienendo ya Gachagua

  • | Citizen TV
    6,355 views

    Chuma cha naibu wa rais kiko motoni, hayo ndio matamshi ya Kiranja wa wengi katika bunge la kitaifa Silvanus Osoro. Kulingana na Osoro, shutuma dhidi ya naibu rais zitatolewa kesho wakati wa mkutano wa wabunge wa UDA utakaofanyika ikulu ya nairobi. Hatua hii ikitajwa kutokanana na kile anachosema ni wabunge kuchukizwa na semi na mienendo ya naibu Rais.