- 134 viewsDuration: 2:00Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang'ula amelitaka kutekeleza wajibu wake wa uangalizi pasi na kudhalilisha majukumu ya serikali. Akizungumza wakati wa kufungua warsha ya siku nne ya wabunge mjini Naivasha, Spika Wetang’ula alitahadharisha kamati za bunge dhidi ya matumizi mabaya ya rasilimali zikichunguza kaunti ambazo hazina changamoto za uhasibu. Wabunge hao wanakutana kukadiria wajibu wao kabla ya kurejelewa kwa vikao vya bunge juma lijalo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive