Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto aanza kupunguza ushuru kwa waajiriwa na kulipa madeni ya wakandarasi wa barabara

  • | Citizen TV
    10,910 views
    Duration: 3:18
    Rais William Ruto ametangaza kwamba serikali imeanza juhudi za kupunguza ushuru unaotozwa waajiriwa wa mapato ya chini. Rais ambaye aliongoza mkutano wa wagombea 12,000 wa chama cha UDA kwenye uchaguzi ujao, pia ametangaza kwamba wanakandarasi wote wa ujenzi wa barabara watalipwa madeni yao na serikali kufikia Ijumaa wiki hii