Wabunge wamtaka Naibu Inspekta Jenerali kujiuzulu

  • | Citizen TV
    7,799 views

    Wanachama wa kamati ya usalama katika bunge la Kitaifa sasa wanamtaka Naibu Inspekta jenerali wa Polisi Eliud Lagat Kujiuzulu mara moja baada ya kuhusishwa na kukamtwa kwa marehemu mwanablogu Albert Ojwang. Wabunge wa kamati hii wakisema ni sharti kwa idara ya polisi kueleza kwa kina kila hatua waliyochukua hadi kifo cha Albert na haswa ni nani aliyehusika.