Wabunge wanawake kuwasilisha mswada wa wanawake kutakiwa kufanya mapenzi wapate kazi bungeni

  • | Citizen TV
    54 views

    Mbunge wa Dagoretti kaskazini Beatrice Elachi na mwakilishi wa kike kaunti ya Nairobi Esther Passaris wanasema watawasilisha mswada bungeni wa kuharamisha hali ya kulazimishwa kufanya mapenzi ili kupata huduma au ajira.