- 212 viewsDuration: 2:00Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula amewataka wabunge kuwa watulivu kufuatia arifa ya kukata rufaa ambayo imewasilishwa katika Mahakama ya upeo kuhusu uamuzi wa hivi majuzi wa Mahakama ya rufani kuhusu uhalali wa kikatiba wa Hazina ya Kitaifa ya Ustawi wa Maeneo Bunge. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive