- 158 viewsDuration: 4:05Wabunge wa serikali ya muungano tawala wa Kenya kwanza wamezidisha miito ya kukamatwa kwa waendeshaji wa hospitali hewa zinazohusishwa kwenye sakata ya udanganyifu katika malipo ya halmashauri ya afyaya kijamii. Kiranja wa wengi katika bunge la taifa Silvanus Osoro na seneta wa kaunti ya Tana River Danson Mungatana akizungumza kwenye hafla tofaui alisema kuwa kufutilia mbali usajili wa vituo hewa vya afya hakutoshi na kwamba ipo haja ya kuwashtaki waporaji hao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive