Wachezaji maarufu duniani waliopoteza maisha kwa ajali

  • | BBC Swahili
    1,880 views
    Hivi karibuni nyota wa kimataifa wa Ureno na Liverpool, Diogo Jota, alifariki dunia pamoja na ndugu yake katika ajali ya gari huko Uhispania. Vifo hivi, mara nyingi huwa vya ghafla na huacha athari ya kudumu kwa vilabu, mashabiki na mataifa. Ifuatayo ni orodha ya wanasoka mashuhuri waliopoteza maisha katika ajali za barabarani #bbcswahili #ureno #liverpool Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw