Wachezaji wa timu ya taifa ya raga wawasili kutoka Uhispania

  • | NTV Video
    89 views

    Wachezaji wa timu ya taifa ya raga ya wachezaji saba kila upande SHUJAA watafanya ziara katika mitaa ya Airport, Nyayo, Baraka, Jacaranda, Donholm, barabara za Jogoo na Ngong nairobi kabla ya kufika makao makuu ya shirikisho la raga nchini baada ya kurejea nchini hii leo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya