Wachimba madini wadogo Taita-Taveta wadai polisi wanawanyanyasa

  • | Citizen TV
    273 views

    Makundi aidi ya 30 ya Wachimbaji madini wadogo eneo la kishushe eneobunge la wundanyi kaunti ya Taita-Taveta wanaeendelea kupiga kambi katika kituo cha polisi cha kishushe wakitaka kuachiliwa kwa magari yao ya kusafirisha madini hayo yaliyozuiliwa na maafisa wa polisi.