- 187 viewsDuration: 3:15Wafanyabiashara mjini Maralal wamelalamikia ushuru wa juu wa biashara katika Uga wa Yare kunakoandaliwa mashindano ya kimataifa ya Ngamia . Wafanyabiashara hao waliolalamikia kubanwa na uchumi wanataka kuondolewa Kwa matozo hayo ili kupata afueni. .