Wakazi wanaoishi katika mipaka tete kati ya West Pokot na Turkana katika ukanda wa Turkwel, Kaunti ya Pokot magharibi , wameipongeza serikali kwa kukomesha uchimbaji madini haramu katika eneo hilo. Mwenyekiti wa chama cha wachimbaji Madini wadogo nchini Kenya, Oketch Salah, alisema wanashirikiana na serikali kulainisha sekta hiyo ili kuhakikisha kuwa wahusika wote wanatekeleza majukumu yao kulingana na sheria.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive