Skip to main content
Skip to main content

Wadau katika sekta ya afya sasa wanaitaka serikali kuwekeza zaidi katika huduma za kuzuia magonjwa

  • | Citizen TV
    192 views
    Duration: 1:52
    Wadau katika sekta ya afya sasa wanaitaka serikali kuwekeza zaidi katika huduma za kuzuia magonjwa na maambukizi wakisema kuna umuhimu wa kuzuia magonjwa badala ya kuyatibu kwani gharama ni kubwa.