Wadau katika sekta ya afya wakutana kujadili jinsi ya kuboresha huduma za afya

  • | Citizen TV
    212 views

    Wadau katika sekta ya afya wakiwemo maafisa wa wizara ya afya na wataalamu kutoka mashirika ya kibinafsi barani Afrika, wamekutana kujadili jinsi ya kushirikiana ili kuboresha huduma za afya na kuokoa maisha.