Wadau katika sekta ya bima wakongamana jijini Mombasa

  • | Citizen TV
    357 views

    Muungano wa kampuni za bima unaitaka serikali kukabiliana na ajali barabarani nchini. Aidha muungano huo unasema ni sharti wahusika kudhibiti sekta ya uchukuzi ili kuondolea wahusika mzigo wa kulipa fidia. Kadhalika washika dau hao wanaitaka halmashauri ya serikali ya kudhibiti huduma za bima kukabiliana vilivyo na wahudumu bandia.