Skip to main content
Skip to main content

Wadau katika sekta ya fedha wazindua mtandao wa 'Connect Plus' kusaidia wanabiashara wadogo

  • | NTV Video
    112 views
    Duration: 1:45
    Ili kuwafadhili wanabiashara wadogo-wadogo katika kuweka rekodi za biashara, wadau katika sekta ya fedha wamezindua mtandao wa Connect Plus, mtandaoa ambao utasaidia pakubwa kuwezesha hata malipo kwa urahisi. Kwa sasa, 30% ya wakenya wanaajiriwa na biashara hizi ndogo ndogo almaarufu SME's. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya