Skip to main content
Skip to main content

Wadau kutoka eneo la Mambrui wafanya usafi baharini kuhifadhi mazingira na kuimarisha utalii

  • | KTN News
    218 views
    Duration: 2:51
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Wadau wa sekta ya utalii eneo la Mambrui, kaunti ya Kilifi, wameungana katika zoezi la kusafisha fukwe za bahari kama njia ya kuhifadhi mazingira na kuboresha sekta ya utalii. Shughuli hiyo ilihusisha kuokota taka za plastiki ambazo zimekuwa tishio kwa viumbe wa baharini. Wadau hao wameitaka serikali kupitia Wizara ya Utalii kuwatambua na kuwawezesha vijana wanaolinda na kuweka fukwe safi, ili kuongeza ajira na kukuza utalii wa eneo hilo. Wakazi pia wamewataka wawekezaji kushirikiana kusaidia jamii kuboresha mazingira na kuvutia watalii zaidi katika eneo la Mambrui. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews