- 112 viewsDuration: 2:51Huduma za afya ya uzazi ni haki ya kila mama. Hayo ni matamshi ya wadau wa afya waliozungumza wakati akina mama wajawazito waliposhiriki maonesho ya ujauzito ya jamii Kibera. Hafla hiyo ililenga kuangazia changamoto za uzazi katika mitaa ya mabanda na kuhamasisha upatikanaji wa huduma bora na nafuu kwa wote. Joseph Wakhungu na taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive