Wadau wa elimu kaunti ya Homa Bay wataka mikakati zaidi kuwekwa kukabili mimba za utotoni

  • | Citizen TV
    140 views

    Mimba za utotoni zimesalia changamoto kuu kwa wasichana katika kaunti ya Homa Bay, ambako mikakati zaidi imetakiwa kukabili hali hii. Sasa mipango imeandaliwa kuhakikisha wasichana wanasalia na kumaliza masomo, kama James Latano anavyoarifu