Wadau wa elimu walalamikia uhaba wa walimu Migori

  • | Citizen TV
    81 views

    Wadau wa elimu katika eneo la Nyatike kaunti ya Migori wameelezea wasiwasi wao kuhusu uhaba wa walimu katika shule za eneo hilo wakihusisha hali hiyo na kudorora kwa viwango vya elimu