Wadau wa elimu wanapinga mpango wa kubinafsisha sekta ya elimu

  • | Citizen TV
    280 views

    Wadau katika sekta ya elimu wametishia kusambaratisha shughuli za masomo nchini iwapo serikali itatekeleza mapendekezo ya kubinafsisha sekta ya elimu. Chini ya miungano ya KNUT, KUPPET, UASU, KUSU na KUDHEIHA, wadau hao wanasema kuwa hatua hiyo itaongeza gharama ya elimu hivyo basi kuacha nje wanafunzi kutoka jamii maskini