Wadau wa elimu wapiga jeki hulka ya kusoma vitabu miongoni mwa wanafunzi na wanajamii

  • | Citizen TV
    108 views

    Chuo kikuu cha Rongo kwa ushirikiano na Shirika la African Library Project kimetoa vitabu 60,000 kwa shule 56 katika kaunti za Migori na Homabay kwa nia ya kuboresha hulka ya kusoma miongoni mwa wanafunzi na wanajamii.