Wadau wa elimu wataka viwango vya elimu kuimarishwa katika kaunti ya Kilifi

  • | Citizen TV
    32 views

    Wadau wa elimu na mashirika ya kijamii kaunti ya Kilifi wameelezea haja ya viwango vya elimu kuimarishwa ili kuongeza idadi ya wasomi katika eneo hilo.