Wadau wa sekta ya elimu kaunti ya Trans Nzoia wataka serikali kuwekeza katika somo la Kifaransa

  • | Citizen TV
    386 views

    Washikadau wa elimu kaunti ya Trans Nzoia wanataka serikali kuwekeza zaidi kwenye somo la kifaransa na lugha zingine za kigeni. Kulingana nao, hatua hii itaongza fursa za kupata ajira baada ya kuhitimu.