Wadau wa utalii walalamikia kupanda kwa ushuru

  • | Citizen TV
    401 views

    Washikadau katika sekta ya utalii wamesema kuendelea kupanda kwa gharama ya maisha kunalemaza juhudi za uekezaji katika sekta hiyo.