Wadau wajadili uhifadhi wa Mbuga Amboseli kaunti ya Kajiado

  • | Citizen TV
    60 views

    Mashirika mbali mbali ya kuhifadhi mazingira Kwa ushiriiano na serikali ya kaunti ya Kajiado yameanda kikao katika eneo la Amboseli kujadili mikakati bora zaidi ya kuimarisha shuguli za uhifadhi wa wanyamapori.