- 163 viewsDuration: 2:01Wadau katika sekta ya chanjo nchini na barani afrika wameshinikiza mikakati zaidi za kufadhili utengenezaji wa chanjo. Kando na kuziba mianya ya utengenezaji wa chanjo hizo barani kauli hiyo imejiri kufuatia kupungua kwa ufadhili kutoka mataifa ya nje. bara la afrika linaagiza asilimia 99 ya chanjo kutoka nje mbali na kuagiza madawa ambayo yanaweza kutengenezwa barani. wadau wamekashifu utegemeaji wa ufadhili nadawa kutoka nje wakisema hali hiyo inahujumu udhibiti wa magonjwa barani afrika.