Wadau wataka hazina ya karo huko Nakuru ijimuishwe

  • | Citizen TV
    78 views

    Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu kutoka kaunti ya Nakuru wameelekea mahakamani wakitaka mahakama kuharamisha hazina ya fedha ya karo inatolewa na kaunti kwa wanafunzi kutoka kwa familia masikini wakitaka fedha hizo kuwekwa kwenye hazina moja itakayowawezesha wanafunzi hao kupata mgao zaidi Pia wanataka bunge liweke vigezo mwafaka vitakavyo tumika kupata wanafunzi wanaositahili kunufaika na hazina hii kwani kulingana nao idadi kubwa ya wanafunzi wanaositahili kupata usaidizi huu huwachwa nje. Evans Asiba anaarifu zaidi.