Waendeshaji bodaboda Kilgoris waandamana baada ya kifo cha mwenzao

  • | KBC Video
    116 views

    Shughuli zilitatizwa leo huko Kilgoris baada waendeshaji wa boda boda kuandamana kulalamikia kifo cha mwenzao, anayedaiwa kukanyagwa na gari la polisi aina ya Land Rover.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive