Wafanya bisahara walalamika kupotea kwa umeme

  • | Citizen TV
    674 views

    Wafanyibiashara wanaotegemea watalii katika kituo cha kibiashara cha lango kuu la utalii la Sekenani wameibua lalama kwa ukosefu wa nguvu za umeme hali ambayo inazidi kuzorotesha mapato yao usiku na mchana.