- 2,852 viewsDuration: 1:13Wafanyabiashara katika soko la Gikomba wamepinga vikali mpango wa kuwahamisha mita hamsini kutoka Mto Nairobi, mbapo ni kinyume na mita 30 ambazo zilikadirwa hapo awali. Wanaonya kuwa hatua hiyo itawaathiri wafanyabiashara wengi kimapato na kumrai Rais William Ruto kuzingatia pendekezo la awali la kuwahamisha mita 30 kutoka kwenye mto huo.