Wafanyabiashara Githurai 45 wataka wagawiwe sehemu za kufanyia kazi

  • | Citizen TV
    297 views

    Miaka miwili baada ya kukamilika kwa ujenzi wa soko la kisasa la Githurai 45 kaunti ya Kiambu, wafanyabiashara wa soko hilo bado hawajagawiwa sehemu za kufanyia kazi katika soko hilo.