- 806 viewsDuration: 1:26Mamia ya wafanyabiashara katika soko la Githurai wanakadiria hasara baada ya vibanda vyao kubomolewa katika operesheni iliyoendeshwa na mamlaka ya barabara kuu za kitaifa. Ubomoaji huu ukifanyika jana usiku, saa chache baada ya wafanyabiashara hao kuandaa maandamano kupinga zoezi hilo