Wafanyabiashara Kenya kutumia maji ya mito kuzalisha umeme

  • | VOA Swahili
    199 views
    Huku gharama ya nishati ikiendelea kuongezeka, na umeme kukatika mara kwa mara nchini Kenya, baadhi ya jamii na wafanyabiashara katika maeneo ya mashambani, wamegeukia nishati iliyozalishwa kutokana na maji, yatokayo kwa mito inayopitia vijijini mwao. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.