- 2,057 viewsDuration: 1:48Huku mgomo katika sekta ya uchukuzi wa Umma nchini ukiingia siku ya Pili hii leo wafanyibiashara Katika Mji wa Kitengela, Kaunti ya Kajiado wanatoa wito kwa asasi za Usalama kutafuta mbinu mwafaka za kudhibiti uporaji wa bidhaa zao madukan