Wafanyabiashara Nakuru wafurushwa kutoka soko la Nasha

  • | Citizen TV
    189 views

    Wafanyibiashara zaidi ya Mia moja, wakiwemo wamiliki wa maduka katika kaunti ya Nakuru, wanalalamikia mabadiliko ambayo yamefanywa na usimamizi wa kaunti hiyo wa kuwatoa wafanyabiashara kutoka soko la Nasha Jijini humo