- 1,305 viewsDuration: 1:53Wafanyabiashara katika jumba la Nanak katikati ya jiji la Nairobi wamelalamikia kile wanadai ni kuhangaishwa na kudhulumiwa na mmiliki wanayedai anataka kuwafurusha baada ya kuongeza kodi ya nyumba kutoka mwezi septemba mwaka jana.