- 613 viewsDuration: 1:50Baadhi ya wafanyabiashara mjini Kebirigo eneo bunge la Mugirango Magharibi kaunti ya Nyamira, wamelalamikia hatua ya mamlaka ya barabara kuu nchini KENhA kulenga kubomoa nyumba pembezoni mwa barabara katika eneo hilo ili kuipanua .