- 848 viewsDuration: 2:25Shughuli za kawaida zilianza kurejea kawaida siku ya Jumapili katika maeneo mengi ya Nairobi, ambako maafa ya mafuriko ya ijumaa usiku yalishuhudiwa. Picha za angani zikionyesha kiwango cha uharibifu huku maji yakiwa bado yamejaa katika baadhi ya maeneo ya mijini.