Wafanyabiashara ya ngono wapewa likizo ya uzazi na mafao Ubelgiji

  • | BBC Swahili
    668 views
    Ubelgiji imekuwa nchi ya kwanza duniani kupitisha sheria ya kutoa haki za kazi kwa wafanyabiashara ya ngono. Watakuwa na haki ya bima ya afya, mafao, mapumziko ya ugonjwa na likizo ya uzazi. Hizi ni jitihada ambazo hazijawahi kushuhudiwa katika sekta hiyo na hakuna mahali pengine popote duniani ambapo kazi ya ngono inapewa ulinzi sawa. Je, sheria hii mpya nchini Ubelgiji ni hatua sahihi? #bbcswahili #ubelgiji #biasharayangono Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw