12 Nov 2025 1:39 pm | Citizen TV 147 views Duration: 2:02 Wafanyakazi zaidi ya 400 wa barabara katika Kaunti ya Pokot Magharibi wamegoma na kufunga barabara ya Kitale kuelekea Kapenguria hadi Lodwar, wakipinga malipo duni na mazingira mabaya ya kazi.