Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi Mombasa Waonya Kuhusu Athari za El Niño

  • | Citizen TV
    62 views
    Chama cha wafanyakazi Mombasa kimetoa wito wa kuongezwa kwa idadi ya wafanyakazi katika kaunti, kikisema huenda El Niño ikaongeza changamoto kwa huduma za umma.