Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi vibarua wa kampuni ya Ruiru wagoma

  • | KBC Video
    242 views
    Duration: 2:36
    MGOMO KATIKA KAMPUNI YA VIFAA VYA UJENZI Shughuli katika kampuni ya vifaa vya ujenzi iliyoko kwenye barabara ya kando ya mashariki mwa jiji la Nairobi zilitatizwa baada ya wafanyakazi vibarua zaidi ya 200 kugoma wakilalamikia kile walichokitaja kuwa mazingira duni ya kazi na kucheleweshwa kwa malipo.Wafanyakazi hao sasa wanaiomba wizara ya leba na mamlaka nyingine husika kuingilia kati na kuwasaidia kushughulikia masaibu yao.i Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive