Wafanyakazi wa kujitolea wa Kipalestina huko Rafah walitumia kuni kuwapikia chakula wakaazi wa Gaza

  • | VOA Swahili
    48 views
    Wafanyakazi wa kujitolea wa Kipalestina huko Rafah walitumia kuni siku ya Jumatatu kuwapikia chakula wakaazi wa Gaza ambao walilazimika kuyahama makazi yao kutokana na vita vya Israel na Hamas.