Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi wa Nzoia Sugar wamefanya maandamano

  • | Citizen TV
    440 views
    Duration: 1:43
    Wafanyakazi wa kiwanda cha miwa cha nzoia wamefanya maandamano ya amani ili kushinikiza malipo ya madeni ya zaidi ya shillingi Billion kumi. Aidha wafanyikazi hao huku wanalalamikia kunyanyaswa na wasimamizi wa kiwanda hicho, wakisema kuwa kwa muda mrefu sasa, serikali haijatekeleza makubaliano yaliyowekwa, wakiwalaumu baadhi ya viongozi serikalni kwa kufumbia macho suala hilo. Wafanyikazi waliostaafu wamesikitikia vifo vya ghafla vya wenzao ambavyo wanasema vinatokana na msongo wa mawazo, wengine wakisalia kuwa wagonjwa.