29 Oct 2025 10:17 am | Citizen TV 393 views Duration: 1:48 Wafanyakazi wa shirika la Posta kaunti ya Taita Taveta wameungna na wenzao nchini na kushiriki mgomo wakitaka shirika la Posta kuwalipa malimbikizi ya mishahara yao ya takriban miezi saba sasa.