Wafanyakazi wa UHC wakesha nje ya makao ya Wizara ya Afya, walalamikia serikali kutotimiza ahadi

  • | TV 47
    7 views

    Wafanyakazi wa UHC walalamikia serikali kutotimiza ahadi.

    Wameandamana nje ya makao makuu ya Wizara ya Afya.

    Wameeleza kuwa wamekuwa wakihudumu kwa mikataba ya muda mfupi.

    Wahudumu hao wamekesha nje ya Wizara ya Afya.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __