- 1,242 viewsDuration: 4:49Baadhi ya wafanyakazi wa umma kaunti ya Kisumu walijipata mashakani na wale waliochelewa wakifungiwa nje ya ofisi, wakati wa ziara ya ghafla ya waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku. Waziri Ruku aliyetaka uwajibikaji kutoka kwa wafanyakazi wa umma akisema kuwa serikali iko kwenye harakati ya kulainisha orodha ya wafanyakazi, ili kuimarisha huduma kwa wakenya.