- 282 viewsDuration: 1:46Serikali ya kaunti ya machakos imechukua hatua ya kuimarisha sekta ya huduma kwa umma kwa kuandaa warsha ya mafunzo ya maafisa wa umma . Akizungumza kwenye warsha hiyo ya wiki nzima ya awamu ya pili, gavana wa kaunti hiyo wavinya ndeti alieleza kuwa programu hiyo ilianzishwa baada ya kugundua mianya ya utoaji huduma katika sekta muhimu kama vile utawala na fedha.